Tunza mazingira yakutunze

Wananchi wameaswa kuendelea kutunza mazingira yao hususani kuendeleza kampeni za upandaji miti ili kukabiliana na janga la badiliko la hali ya hewa na ongezeko la joto duniani.

Comments

Popular posts from this blog